Inama (feat. Fally Ipupa) SONG LYRICS

by
  • TextText file is a kind of computer file that is structured as a sequence of lines of electronic text.
  • WordUse for Microsoft Office Word or Open Office
  • PDFUse for Abobe Acrobat

Inama (feat. Fally Ipupa) - Diamond Platnumz Song Lyrics


Ayolizer Kukudekeza kama mtoto Furaha unafurahia Alafu geuka
moto Machozi unalia Mwembamba mwenene Uwe na pesa kama Dangote(
Dangote) Penzi halijali umasikini Laweza penda mtu yoyote Penzi sio
somo Ukasome kwa kitabu Penzi limefanya Harmonize Afukuzishe mwarabu
Penzi oyoyo, Limeleta kwa wanangu vita Siku hizi siwaoni Naishia
kuwalike Insta Hivo asiyekupenda Achana naye Anayekupenda Pendananaye Mambo stress Ya nyumba ndani Ebu cheza ufurahi Kama songi
limekolea Asa inama Ebu pinda mgongo(ooh ngo ngo ngo) Oya inama(inama
beiby) Basi pinda mgongo(ngo ngo ngo ngo ngo) Asa inama(inama beiby)
Ebu pinda mgongo Kama tungi limepoza Oya inama basi pinda mgongo
Toujours l'amour ebandaka n'esengo
Ba bisou, ba câlin, ba cadeau,
Ba je t'aime tout le temps
Mawa eleka wapi bébé nanga aza présente,
Soucis eleka wapi chérie nanga azaliyee
Tango nyoso olobelaka nga je t'aime
Baloba baseka oh baloba baseka
Nga nako lemba te 2xChérie nanga aza kitoko
Cherie nanga aza elengi trop
Chérie nanga aza kitoko
Bébé nanga aza elengi trop
Parfois l'amour est compliqué
Mais chérie à moi toujours romantique
Asa inama Ebu pinda mgongo(nakupinda mgongo) Oya inama basi pinda
mgongo Asa inama Ebu pinda mgongo(ooh mgongo) Oya inama basi pinda
mgongo Asa nionyeshe unanyonga je Nyonga,
nyonga kibasikeli Nyonga kaa kibasikeli Nyonga kama kibasikeli Ah
kiuno kifanye pedeli Nyonga,
nyonga kibasikeli Nyonga kaa kibasikeli Nyonga kama kibasikeli Ah
nyonga, na kupinda mgongo Nyonga,
nyonga kibasikeli Nyonga kaa kibasikeli Nyonga kama kibasikeli
Nakucheza ka goma la kashikwa midadi Analishare lishare Analishare
lishare(analilili) Analishare lishare Eh bia za kitonga kachanganya
na nyagi Analishare lishare(yuko bwi) Analishare lishare(silali)
Analishare lishare(oooh) Yeah Samuel Etoo Didier
Drogba Wasafi Fally Ipupa, the boss Tozali kolo, wakokokate(
Kokate)

Inama (feat. Fally Ipupa) song lyrics